nenda kwa wahindi wanatunza vizuri magari yao make wao ni wa town tu hawana ndugu bara,ila for 5M,
tusidanganyane..kuanzia 6M hivi used unapata but for me nakushauri ujipange ununue kitu kizuri from 5M to 7m importing from japan tena mpya kwa apa used japan si mbaya...
kwa msaada zaidi 0714 345432........