Vitz bei nzuri milango 5 inahitajika bei nzuri

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
765
Reaction score
490
Habari wana jf toyota vitz yenye sifa zinazofuata inahitajika
5 door,petrol,999 cc, year from 1999,right steering,rangi zote isipokua nyeupe, bei ni makubaliano ila bei iwe nzuri sana mana
Ingelikua tatizo si pesa tungeshapata showroom zipo zimejaaa ila si unajua showroom pale jamaa lazima wapige bei sana mwenye nayo anipm humu
 
kweli utapata, maana Rafiki yangu kanunua kwa mtu mil 5 mwezi uliopita na gari inapiga kazi vizuri kabisa
 
Yap nashkuru kwa ushauri jamaninmwenye nayoooooo!
 
Kama wewe unaona una bei nzuri mwaga bei hapa kawaida muuzaji ndio aseme bei sio mnunuzi
 
Habari wana jf toyota vitz yenye sifa zinazofuata inahitajika
5 door,petrol,999 cc, year from 1999,right steering,rangi zote isipokua nyeupe, bei ni makubaliano ila bei iwe nzuri sana mana
Ingelikua tatizo si pesa tungeshapata showroom zipo zimejaaa ila si unajua showroom pale jamaa lazima wapige bei sana mwenye nayo anipm humu
mkuu mimi ninayo ya 2003 ila ninauza 7.5 million pia nimeweka ringi mpya kabisa na music system mpya ni PM kama upo serious
 
Njoo uchukue ninayo yenye specs zako zote ulizozisema lete 4.5m tu hakuna mazungumzo.
 
utapata wewe un pm tu tuwasiliane kama uko dar tuonane ili nikukabidhi kwa kaka yangu yeye anafanya biashara za imlport japanese cars na hilo unalohitaji nitamwambia kisha nitakupm kama lipo sokoni
Habari wana jf toyota vitz yenye sifa zinazofuata inahitajika
5 door,petrol,999 cc, year from 1999,right steering,rangi zote isipokua nyeupe, bei ni makubaliano ila bei iwe nzuri sana mana
Ingelikua tatizo si pesa tungeshapata showroom zipo zimejaaa ila si unajua showroom pale jamaa lazima wapige bei sana mwenye nayo anipm humu
 
utapata wewe un pm tu tuwasiliane kama uko dar tuonane ili nikukabidhi kwa kaka yangu yeye anafanya biashara za imlport japanese cars na hilo unalohitaji nitamwambia kisha nitakupm kama lipo sokoni

We commission unakula ngapi?
 
Usishangae ukiambiwa lipo Garauge muda miaka miwili likisubiri matengenezo.
 
Back
Top Bottom