GE2025 Vitus Nkuna kuwakilisha CHAUMMA Ubunge Iringa Mjini

GE2025 Vitus Nkuna kuwakilisha CHAUMMA Ubunge Iringa Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Chama cha Ukombozi wa Umma kimemteua kada wake Vitus Nkuna kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu (2025) kwa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Iringa mjini

Naibu Katibu Mkuu wa CHAUMMA Tanzania Bara Benson Kigaila amemtangaza Nkuna kugombea nafasi hiyo katika mkutano wake na wanahabari uliofanyika Agosti 24.2025, mkutano uliokuwa na dhamira ya kutangaza majina ya awali ya wagombea wa nafasi za Ubunge wa majimbo mbalimbali ya Tanzania Bara

1756105475989.png
 
Chama cha Ukombozi wa Umma kimemteua kada wake Vitus Nkuna kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu (2025) kwa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Iringa mjini

Naibu Katibu Mkuu wa CHAUMMA Tanzania Bara Benson Kigaila amemtangaza Nkuna kugombea nafasi hiyo katika mkutano wake na wanahabari uliofanyika Agosti 24.2025, mkutano uliokuwa na dhamira ya kutangaza majina ya awali ya wagombea wa nafasi za Ubunge wa majimbo mbalimbali ya Tanzania Bara.
takataka anashindana na baba yake CCM. Rubbish!
 
Back
Top Bottom