Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,479
Tv za leo hazijaonyesha kabisa maandamano ya mafuriko mbeya, channel ten hawajaonyesha, clouds hawajaonyesha, ITV wameonyesha akiwa jukwaani tu. Tbc ambayo watu siku hizi hawaangalii sijui kama itakuwa imejaribu hata kujaribu tu. imeonekana wazi kuwa kuna njama zimefanyika kununua vyombo vya habari vizionyeshe mafuriko ili kuminya publicity ya Edo.
USHAURI KWA LOWASA: andaa timu yako kuanzia sasa, mikutano yako yooote na mafuriko yako yooote uwe unayarekodi halafu tutachanga hata hela kidogokidogo, hata wakisema turushe kwa mpesa, ili tununue vipindi maalumu kabisa kwaajili ya kuwaonyesha watz mafuriko na namna jamaa anavyokubalika. la sivyo, tukitegemea vyombo vya habari hivi bila hivyo anaweza akaja mwanaccm mmoja akaamua kuvinunua na mafuriko hayataonekana. unajua mafuriko yanapoonekana kuna faida kubwa sana kwa ukawa, inavuta watu wengi sana. hii ndio siasa. tutaandaa siku moja hata kama ni jumamosi tutanunua hata lisaa lizima kwenye tv za azam, itv, channel ten na clouds, tutawapa hela ili turushe kwa pamoja vipindi vinavyoonyesha mafuriko na watu wote wayaone. pia kabla ya kuyarusha, inabidi tuwatangazie watanzania kuwa siku fulani tv fulani itaonyesha mafuriko.
TUANZISHE KIPINDI MAALUMU KWA JINA LA'" SAA YA UKAWA NA LOWASA" Ambapo tutakuwa tunaonyesha namna kampeni zilivyofanyika na mafuriko yetu yataonyeshwa. tutaweza pia kwenda hadi kweye radio zote hapa tz ili wale watu wa vijijini ambao hawana tv wapate kumsikiliza Edo na ukawa na mwezi wa kumi tupate mafanikio ya ukombozi kwa tz. Mungu ibariki Tanzania.
NB; naomba mods msiondoe hii thread, kwasababu ccm ndio waliosababisha kutungwa kwa sheria inayotubana uhuru wa habari, ambayo inaanza kutumika mwezi ujao, inabidi wote tuungane kuisambaratisha ccm ili tupate ccm mpya na sheria za ajabuajabu zote zibadilishwe mara moja.