Hiyo inapendeza lakini utekelezaji wake mgumu.? Na hii Idea imesemwa sana
Utekelezaji ni issue. Nani atawajibika na management ya hiyo minara. gharama za back up power. security, Insuarence,Locatiion, etc
May be itabidi ianzishwe kampuni kati itayaohusika na na minara na hizi kampuniza simu na vituo vya radio viwe wateja.