JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,195
Nimekuwa na mabishano na rafiki yangu mtangazaji wa redio kuhusu matumizi ya sheria ya umilki. Mimi namwambia ukipiga wimbo wowote mwenye wimbo lazima apate gawio ila yeye anadai nyimbo za nje ni free. Nielewesheni wadau.. Which is which?