Vitunguu vinapatikana gunia 80

Vitunguu vinapatikana gunia 80

duet

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
534
Reaction score
149
Vitunguu vinapatikana Mvumi kilosa karibu kabisa na barabara na vipo ghalani. Mzigo unakadiriwa kuwa gunia 80-100. Mwenye uhitaji ani inbox.
 
Back
Top Bottom