Chuck j JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 2,366 Reaction score 834 Jun 12, 2012 #1 Naomba kujua vitunguswaumu vinapatikana kwa wingi wapi na bei,
M MBOMBO Member Joined Nov 28, 2009 Posts 37 Reaction score 16 Jun 13, 2012 #2 nnavofahamu, sehemu wanakolima vitunguu maji, swaumu vinapatikana pia. Nenda Iringa sehemu inayoitwa ILULA wapo wakulima wengi sana na utapata mzigo wa kutosha. Ni barabarani tu, magari yaendayo iringa, mbeya, malawi yanapita apo. Nenda pia Arusha
nnavofahamu, sehemu wanakolima vitunguu maji, swaumu vinapatikana pia. Nenda Iringa sehemu inayoitwa ILULA wapo wakulima wengi sana na utapata mzigo wa kutosha. Ni barabarani tu, magari yaendayo iringa, mbeya, malawi yanapita apo. Nenda pia Arusha