Vitunguu swaumu vinapatikana wapi kwa wingi?

Vitunguu swaumu vinapatikana wapi kwa wingi?

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
2,366
Reaction score
834
Naomba kujua vitunguswaumu vinapatikana kwa wingi wapi na bei,
 
nnavofahamu, sehemu wanakolima vitunguu maji, swaumu vinapatikana pia. Nenda Iringa sehemu inayoitwa ILULA wapo wakulima wengi sana na utapata mzigo wa kutosha. Ni barabarani tu, magari yaendayo iringa, mbeya, malawi yanapita apo. Nenda pia Arusha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom