Vitumbua vya nyama ya kusaga

farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,568
16,906
Mahitaji

Nyama ya kusaga robo...ichemshe na kuweka spices upendazo

Mayai 5-6 inategemea na ukubwa..

Pilipili hoho kipande

Karot 1 ndogo ipare iwe ndogo ndogo

Chumvi kiasi

Kitunguu saumu 1/2 teaspoon

Tangawizi 1/2 teaspoon

Baking powder 1 teaspoon...

Kitunguu maji kipande.

Pilipili ya kuwasha kiasi upendacho

Namna ya kutaarisha

Weka katika blenda pilipili hoho,kitunguu maji,mayai,saga ila isiwe laini sana

Toa weka kwenye bakuli then add chumvi,baking powder na karot...

Weka pan yako ya kuchomea vitumbua na choma kama vitumbua vya mchele

Tayari kwa kuliwa...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
mchanganyiko.jpg

Mchanyiko ni huu apa
 
Yani na mimi ntavipika, hapo nimeviona kwenye picha mate yamenitoka....!
Asante kwa pishi farkhina.
 
Last edited by a moderator:
Mahitaji

Nyama ya kusaga robo...ichemshe na kuweka spices upendazo

Mayai 5-6 inategemea na ukubwa..

Pilipili hoho kipande

Karot 1 ndogo ipare iwe ndogo ndogo

Chumvi kiasi

Kitunguu saumu 1/2 teaspoon

Tangawizi 1/2 teaspoon

Baking powder 1 teaspoon...

Kitunguu maji kipande.

Pilipili ya kuwasha kiasi upendacho

Namna ya kutaarisha

Weka katika blenda pilipili hoho,kitunguu maji,mayai,saga ila isiwe laini sana

Toa weka kwenye bakuli then add chumvi,baking powder na karot...

Weka pan yako ya kuchomea vitumbua na choma kama vitumbua vya mchele

Tayari kwa kuliwa...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Katika uchomaji nlitumia samli aina hii ambayo haina harufu kama zil nyengine ambazo zina smell kama maziwa

pan.jpg
 
Asante ntajaribu weekend hii...

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile...
 
asante mamii

auntie akija nitampikia last time alikuja nikampikia samaki hakutaka kuondoka na mama yake
 
Bibie huo mkono uloshika bakuli ni wako.? Hakika shem anafaidi.

Back to topic, hakika utakuwa u mpishi hodari sana na nguli. Hongera kwa hiyo karama.

Shukraan

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom