Vitumbua vya kuku

farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,568
16,906
Mahitaji
1)Kuku
2)kitunguu maji 1
3)kitunguu saumu 1 teaspoon
4)tangawizi 1 teaspoon
5)pilipili manga 1 teaspoon
6)pilipili mboga 1
7)baking powder 1 teaspoon
8)mafuta ya kupikia
9)chumvi kiasi
10)mayai 5-6


Namna ya kutaarisha

1)chemsha kuku,weka chumvi,kitunguu saumu na tangawizi...
2)akishawiva vizuri,chambua kuku wako na kumtoa mifupa...
3)weka kwenye blenda kuku,kitunguu maji,pilipili mboga,mayai,chumvi na pilipili manga.....saga kiasi..
4)weka kwenye bakuli safi na uweke baking powder...

5)weka chuma cha kuchomea kwenye jiko
6)fanya kama unavyopika vitumbua vya kawaida


Vitumbua vya kuku tayari kwa kuliwa..
 

Attachments

  • 1385987787882.jpg
    17.2 KB · Views: 704
Reactions: BAK

Owh pole sana....tafuta chengine
 

Vipo vitumbua vya mchele, vya kuku, vya nyama, vya samaki na hata vya kunde.

Kuhusu Hicho chuma tafuta chengine, nonstick. Lkn kweli vina kazi kupata kama alivosema farkhina. Hata huku kwetu zenji mi nlitafuta sana, nlibahatika kupata kimoja tena bei 50 thousand.
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa upishi habibty.

Vitumbua ivo very tasty.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…