ha!ha!ha!... Hapo chacha!!!!
Unaenda kama unarudi!!!
matumbo yao ni gere hayaruhusu chakula kikatanue sehemu nyingine..lol!
Hili jambo ni janga la Taifa, tatizo Dada zetu nao siku hizi mpaka supu ya kongoro nao wamo, supu ya ulimi nao wamo supu ya mkia nao wamo supu ya kichwa nao wamo. mwe!!
si unaniona full kunenepeana eti nijipunguze tena
Hata kwenye supu ya pweza pia wamo!
Wenye viFLat screen tumbo ndo wanaongoza kwa kula.
Mh. Itanichukua uda kuamini, kwa sababu hao wenye flat screen ndio wanaokula vyakula kwenye visosa. Nyie akina vitambi ndio tunaopigana vikumbo kwenye supu za kongolo na ulimi.
Teh teh huo ndo ukwel ss.....,hawali sana wenye vitambi.Alafu wengine ni masindano ya majira hayo.
Inaonekana wamekukera sana eeeeee.unakuta msichana mzuri kaumbika kiafrika na anavutia ukimtizama ila tumbo sasa dah mpaka linaning'ing' inia yanii
wengine hata wajazaa bado sasa walikwisha kuwa wazaxi wanajiachia sana ndio tunapenda bantu figure ila liwe natural sio la kupikwa kwan linanenepesha kila kitu....na sku hizi na body suit zao zunaaacha vitambiiii bwereeeeee
mmmh hapo kwenye sindano hapo yaweza kuwa nikweli coz kuna wengine zinawaumua na wengine zinawakondesha
ha!ha!ha!... Hapo chacha!!!!
Unaenda kama unarudi!!!
aahahhahhahhahhahhaah nilitaka kushangaa nisione UMENIWAKILISHA!ngekuNUNIAJE SASA!Hahaha. Yaani masimango yangekuwa yanaondoa vitambi mbona vingetoweka kwa jina la mapenzi!
Ngoja nikale kitimoto mie mweeh.
Nna kiu ya safari laga koo limefunguka kama turbo charger⊙
Weeeee.....alafu vitambi vyao vinakuwa balaa kama yule designer wa kihind hapa bongo ila kimeisha ss hv cjui alienda India.
kuumbee, waweza singizia msosi kumbe sindano zinafanya kazi yake lol!
Napenda kujua wewe ni Docta wa nini nataka kutibiwa?
Mbona iko vizuri tu, au unataka uwe skinny. That is the right figure for a woman bwana. Ujue pelvic bones za vimbaombao zinawaumiza wanaume, muulize mzabzab.
Hili jambo ni janga la Taifa, tatizo Dada zetu nao siku hizi mpaka supu ya kongoro nao wamo, supu ya ulimi nao wamo supu ya mkia nao wamo supu ya kichwa nao wamo. mwe!!