vitumbo kwa wanawake

vitumbo kwa wanawake

wazawa

Senior Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
184
Reaction score
58
unakuta msichana mzuri kaumbika kiafrika na anavutia ukimtizama ila tumbo sasa dah mpaka linaning'ing' inia yanii
wengine hata wajazaa bado sasa walikwisha kuwa wazaxi wanajiachia sana ndio tunapenda bantu figure ila liwe natural sio la kupikwa kwan linanenepesha kila kitu....na sku hizi na body suit zao zunaaacha vitambiiii bwereeeeee
 
lol! Kuku zimekubali 🙂🙂

Wewe ukianza kunenepa unaanza na tumbo ndio makalio, sasa kama unataka flat tummy, basi na masaburi yatakuwa flat.
 
Mhhhh!!!! Kaunga mie nimeona wadada wengi tu na wowowo za kukata na shoka halafu tumbo si la kuning'inia kama alivyodai muanzisha uzi.

Wewe ukianza kunenepa unaanza na tumbo ndio makalio, sasa kama unataka flat tummy, basi na masaburi yatakuwa flat.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh!!!! Kaunga mie nimeona wadada wengi tu na wowowo za kukata na shoka halafu tumbo si la kuning'inia kama alivyodai muanzisha uzi.
Huyo ameoverdo, la kuning'inia ni kama umezaa na haukulifunga tumbo, au ugonjwa au obesity. Lkn ukiwa na mzigo (mafuta) na kama huna mazoezi basi tumboni ni moja ya area ambapo fat zinahifadhiwa.
 
Last edited by a moderator:
hili jambo ni janga la taifa, tatizo dada zetu nao siku hizi mpaka supu ya kongoro nao wamo, supu ya ulimi nao wamo supu ya mkia nao wamo supu ya kichwa nao wamo. Mwe!!
ahaaaa hebu cheki avatar yangu hapo nipe maksi
 
hahaha. Yaani masimango yangekuwa yanaondoa vitambi mbona vingetoweka kwa jina la mapenzi!
Ngoja nikale kitimoto mie mweeh.
ahaaaa michemsho wanatupa wenyewe sijui masimango ya nini sasa
 
Tehtehtehteh....si wanasema ugali hawali eti chips kuku wa kizungu wajisevia ....tambi hiloooooo
 
ahaaaa michemsho wanatupa wenyewe sijui masimango ya nini sasa

Utaona dada kitumbo hicho ukiuliza ana mimba unaambiwa ndivyo alivyo mwaka wa 4 huu.
 
ahaaaa hebu cheki avatar yangu hapo nipe maksi
Mambo iko huku

profilepic48795_3.gif
 
Back
Top Bottom