Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,303
Bora ugumba kuliko uzazi huu....
Tatizo ni nini kwani kwenye hiyo picha?
Bora ugumba kuliko uzazi huu....
acheni kumnanga, tena nyie mnaomnaga ndio maudenda yanawatoka. she is cute kwa yule ampendae. kuna watu wana matumbo ka mito, hawathubutu hata kuvua nguo mbele ya waume zao kukiwa na mwanga! muacheni wema, lol!
Bora ugumba kuliko uzazi huu....
yaani wewe kama mimi dah ila kwa jinsi alivyowapanga hata kama wanasema haina makombo mimi hapana, maana mijitu mia nane,Siku zote huwa ananichefua lakini leo nahisi kama kaniteka fulani hivi,yaani lile tumbo jinsi linavyounyanyasa mustakabali wangu wa hisia dume ni kupita maelezo!