Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 822
- 371
Wakati wizara ya mawasiliano sayansi na teknolojia inawasilisha bajeti yake huku kwenye kisimbusi cha mchina saa 3 sasa zimepita tbc2 hakuna picha inasikika sauti tu na vipindi vinaendelea kama kawaida kwa mtindo wa radio nadhani ndio maandalizi ya kombe la dunia