Vituko vya Rais Islam Karimov wa Uzbekistan

Vituko vya Rais Islam Karimov wa Uzbekistan

nyie watu wa west mshaanza kuleta urojo wenu hum kumbuka raisi mzuri ni yule anayeweza kuondoa extremist je unajua majirani wa uzbekistan ni maextrimist ambao ni pakistan na afghanistan .Nakushauri mtoa mada uwe unasoma historia ya pakistan na afghanstan ili uondoe jiwe la ujinga kichwani mwako
 
Uzbekistan kuna waislam wenye msimamo mkali wanaitwa Islamic Movement of Uzbekistan.

Wanashirikiana na Al-Qaeda na IS na pia wamepeleka vijana wengi huko Syria.
 
Naomba tusijifunze lolote kutoka kwake, Kuna watu hawakawii kuiga
 
Hakuzikwa huyo ,kachimbiwa ardhini !!
 
Tumejifunza kuwa sisi ni afadhali sana watu wanapiga kelele! , namshauri Ngosha aongeze ukali ikibidi kuwachemsha, awachemshe tuu waache kelele!
Pasco
Pasco na wewe umefuata mkumbo uleule wa ukabila? Ngosha ndo mdudu gani bana,twambie nani huyo unayetaka aongeze ukali?
 
Pasco na wewe umefuata mkumbo uleule wa ukabila? Ngosha ndo mdudu gani bana,twambie nani huyo unayetaka aongeze ukali?
Mkuu Baliba, watu wanapiga kelele sana kuhusu udikiteta, kumbe hapa hata udikiteta hatuna!, ili taifa hili linyooke, ni kweli tunahitaji udikiteta!, mfano ikitangazwa atakayepokea rushwa kubwa (grand corruption) atakeuzwa supu kwa kuchemshwa kwenye maji moto!, nakweli watu wakashuhudia mtu anachemshwa!, nani atathubutu tena kupokea rushwa kubwa!.

Akisema msiandamane!, watu wakiandamana, jeshi linawalaza chini kama Tianman Squire, siku nyingine kuna mtu atathubutu kuitisha maandamano?!.

Udikteta kaka si ni kutawala bila kufuata katiba na misingi iliyowekwa na watu wenyewe? Kama sheria ikisema atakayethibitika kutenda kosa fulani ageuzwe supu ,atakayemgeuza supu anakuwa siyo dikteta ili mradi sheria hiyo ilitungwa na kupitishwa na chombo halali chenye mamlaka ya kufanya hivyo.ukitoa tamko na ukataka liwe sheria huo ni uimla ambao ni udikteta. Uongozi ni kushawishi na kuonesha njia bali kutawala ni kuburuza watu au vitu na huo ndiyo udikteta.Shule kulikuwa na zoezi la IMLA au Dictation,hilo neno ndiyo mzizi wa udikteta au uimla.
 
Aliweza kutawala muda wote huo kutokana na Sifa yake kuu,yaani kuudumaza,kuukandamiza na hatimae kuusambaratisha kabisa upinzani nchini mwake.

Karimov atakumbukwa kuwa Nduli, katili, mwenye hasira kali, kauli za kutisha na uamuzi wa haraka.Majeshi yake yaliwaangamiza kwa kuwapiga risasi mamia ya waandamanaji wasio kuwa na silaha kwa kosa la kupinga utawala wake mwaka 2005.

Atakumbukwa pia kwa tabia yake ya kuwapigia makelele, kuwaadhibu, kufuta nyadhifa na kuchagua maofisa wake katika mikutano ya hadhara.

Sounds familiar! Najiuliza siui ni wapi nimesikia kuna Raisi wa namna hii hapa Afrika. Nimepitiwa kidogo.

Ila sasa, kuna watu wanasema it does not matter, ili mradi alileta maendeleo kwa nchi yake.
 
Kandamiza utakavokandamiza; ua utakavo, dhulumu unavojiskia, lakini ipo siku na wewe utakufa
Mobutu, Ghadaffi, Abacha, Amini, Bokassa, Hitler, Papa Doc na Baby Doc wa Haiti, mlolongo ni mrefu sana!
 
Back
Top Bottom