Ntiliabhose
Member
- Dec 31, 2012
- 78
- 38
bangi za sakapal hizi!
Stori za vijiweni hizi.
bangi za sakapal hizi!
ugali umeshaiva nenda kale
Mbona hizi story zilikuwa common sana wakati huo? Mnachoshangaa ni nini? Au Nyerere wakati anafariki dunia nyie ndiyo mlikuwa chekechea, kwa hiyo hamkuzisikia hizi?Kama wakati Nyerere yupo hai ulikuwa darasa la 3, sasa mbona una akili za kitoto hivi?
Na nikurekebishe, sahihi ni kwamba ulimuona, sio mlikutana
Kawawa funika kikombe.
Sio bangi sema bange, mie hii ya kusimama barabarani raisi nyerere anapita ilishanikuta sana wakati nasoma shule ya msingi muhimbili enzi za mwalimu ndosi na mwalimu batalingaya looh
Kifimbo cha mzee kilikuwa nouma mie pia nilishazinyaka kuwa aliwekewa bomu pale daraja la salenda yaani msafara wake ukipita tuu alipuliwe, basi kifimbo kikamtonya na akabadili msafara akapita daraja la kajima.
Malkia elizabeth alipofika akavaa gloves ndo akatoa mkono kumsalimia mwalimu, mwalimu nae akampa kifimbo badala ya mkono.
Hakuna aliyeweza kukinyanyua kifimbo chake ikitokea alikisahau mahali hadi arudi, alikirithi kutoka kwa wazee wa kizanaki.
Watoto wa dotcom mtabisha coz hamzijui wala hamkuwahi kuzisikia.
Mentor njoo tuvute wote bangi nnaha ya kukuona ukiwa ushakolea mjani na macho yako hayo sikupatii picha.
Nna hamu nayo sana aisee..mara ya mwisho kuvuta bange ya ukweli nilikuwa Majengo sekondari...hii tuliyovutaga makutopora cha mtoto sana...hata haina stimu maharufu tu!
Bange ya arusha ina hadi flavor..chezea!!!
Sio bangi sema bange, mie hii ya kusimama barabarani raisi nyerere anapita ilishanikuta sana wakati nasoma shule ya msingi muhimbili enzi za mwalimu ndosi na mwalimu batalingaya looh
Kifimbo cha mzee kilikuwa nouma mie pia nilishazinyaka kuwa aliwekewa bomu pale daraja la salenda yaani msafara wake ukipita tuu alipuliwe, basi kifimbo kikamtonya na akabadili msafara akapita daraja la kajima.
Malkia elizabeth alipofika akavaa gloves ndo akatoa mkono kumsalimia mwalimu, mwalimu nae akampa kifimbo badala ya mkono.
Hakuna aliyeweza kukinyanyua kifimbo chake ikitokea alikisahau mahali hadi arudi, alikirithi kutoka kwa wazee wa kizanaki.
Watoto wa dotcom mtabisha coz hamzijui wala hamkuwahi kuzisikia.
Mentor njoo tuvute wote bangi nnaha ya kukuona ukiwa ushakolea mjani na macho yako hayo sikupatii picha.
hapo kwenye pink, ni Batalingaya wa muhimbili boys enzi hizo nini? nimemkumbuka mama Nanakara!