Keko kuna balaa toka enzi na enzi mpaka kesho ,keko usiende kuishi kila aina ya usela uko huko ,mchana kweupe unakabwa na watu wanaendelea na shughuli zao ,kijana wa miaka 16 anakushikia panga mchana,keko pasua kichwa watoto na watu wa huko wameshindikana ....keko kuna story tamu hope Uzi wake utafunguliwa
Magomeni pako poa sio kihivyo ,magomeni kagera mpaka Argentina hupenda sana michezo ya ngumi na vijana wengi wameingia huko ndio kwakina Thomas mashali huko kila mtu anajifanyia bondia
Mwembechai,mikumi,mapipa palikuwa hot lkn sio kama keko,mwananyamala,kigogo nk ..binafsi ni mzoefu wa magomeni mapipa mitaa ya suna huku ukitaka druglords ,watengeneza hela feki utawapata ,matapeli ,watoto wa mjini utawapata mpaka watoto waliosumbua miaka ya 2014,2015 kwa jina la panya road utawapata wakazi wa kinondoni wanawafahamu sana hawa
Ila kigogo,keko,Tandale ndio yanashabihiana na mwananyamala ..magomeni utundu upo ila maisha ya huku yapo medium kati kwa kati ndio maana kuna utofauti na mitaa tajwa hapo juu hivyo usela sio sana kama huko ila pachangamfu
He he[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahahhah kilichokuchekesha nikikumbuka nilikula ice cream zile za ukwaju na ninavyopenda ukwaju sasa mbona kila siku nilikua nawahi ili nipewe dell niuzeNimechekaa sanaaa
Kilichonichekesha eti halikuwa haesabuAhahhah kilichokuchekesha nikikumbuka nilikula ice cream zile za ukwaju na ninavyopenda ukwaju sasa mbona kila siku nilikua nawahi ili nipewe dell niuze
Inawezekana aliamka anaumwa kichwa sana akamwambia mama akee akamuitie ostadh amsomee duwa ostadh kufika Amina masikini ameshakata rohoWanga wa m/nyamala washafanya yao.
Kweli alikua haesabu jaman alikuwa anatuamini wanafunzi wakeKilichonichekesha eti halikuwa haesabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulimfaidiiiiiKweli alikua haesabu jaman alikuwa anatuamini wanafunzi wake
Mitaa ipi unakaaHuko sipajui mkuu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulimfaidiiiii
Na ulikokuwa kadogodogoo alikuwa anakuaminiaa hatariiiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sanaa
Ananimininia nini tenaNa ulikokuwa kadogodogoo alikuwa anakuaminiaa hatariiiii
Ushapanda pande zako juu niniii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ananimininia nini tena
Hapana nipo home mambo yangu nilipiga jana home tuUshapanda pande zako juu niniii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najua lazima siku hizi ni kihome homeeee...Hapana nipo home mambo yangu nilipiga jana home tu
[emoji41][emoji41][emoji41] kweli nilisoma vibaya jaman siunajua uzee nilionaoNajua lazima siku hizi ni kihome homeeee...
Ila umesoma vibaya nilisema anakuaminia
Sio kwamba unamsumbua kale kadadaaa make unabopendaga kukaa mbali na kukaitaa kaziii hipoooo[emoji41][emoji41][emoji41] kweli nilisoma vibaya jaman siunajua uzee nilionao
100% nakubali......miaka ya tisini mpaka 2002 kuanzia m/nyamala A kwenda mpaka kwa M/zakaria ilikuwa hatari sana....kuna zile nyumba za kota (M/nyamala A) jamaa walikuwa wanakaa kwenye vile vichochoro. Na ndipo roba za mbao zilipoanzia.Ungepita kipindi hiko baba.
Sasa hivi wakabaji wote wameshakufa na wezi wengi wanaendesha boda boda
Kuitwa lazima aitwe ndio kazi yakeSio kwamba unamsumbua kale kadadaaa make unabopendaga kukaa mbali na kukaitaa kaziii hipoooo
Vichochoro vyote siku hizi hamna watu wamevunja nyumba zao na kujengwa upya ilikua ukipita kichochoro hiki unatokea mtaa wa pili siku hizi ukianza kuingia mtaani moja kwa moja mpachi chini utokee mtaa wa pili100% nakubali......miaka ya tisini mpaka 2002 kuanzia m/nyamala A kwenda mpaka kwa M/zakaria ilikuwa hatari sana....kuna zile nyumba za kota (M/nyamala A) jamaa walikuwa wanakaa kwenye vile vichochoro. Na ndipo roba za mbao zilipoanzia.