rama halavi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 269
- 236
Siku hizi napita tu pale ila miaka ya nyuma siku mmoja polisi wa mwinyijuma walimkama mlinzi wa nyumbani kwetu kino kwa kosa la uzururaji so wakati napita akaniona akaniita na kuniambia nikamwite maza polisi walivyosikia hivyo wakaogopa sana maana walikuwa hawamjui na hawajawahi kumuona ila walikuwa wanaambiana tu wenye nyumba ila ni wafanyakazi wa usalama wa taifa basi maza alipofika wala akuuliza akawaambia mtoeni kama wakamtoa kwa uoga wa kutojua. Kumbe bi mkubwa alikuwa anafanya kazi sigara. Basi nikawa nikipita hata mimi wananiogopa, one day tuko home nje maskani na wanangu mpaka saa 9 usiku wakapita polisi wa obey wakataka kutukamata wakaambia hao waacheni msiwaguse hata kidogo. Basi ikawa burudani usiku ni vibaka wala kukwamatwa na polisiNow wana mgambo mmoja hivi wa maduka matatu
Wengine wamezagaa ujerumani, china na uingereza hasa wale waliokuwa wanachaza sarakasi. Ila wale waliokuwa makonda na madereva wangi wako south zaidi ya miaka na miaka kama hawana kwao wala nduguSifa nyingine ya mwananyamala,vijana wengi sana wamekimbilia South,wapo waliomaliza 10-20 yrs huko SOUTH.
Weng sana wapo Bondeni,hawana idadi
Mama weee..! Mbavu zangu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna wapga chabo maarufu mwalimu wa msufini na bon jove wa shoka hawa walikuwa na vyeo kabisa vya upigaj chabo,nakmbuka mzee kamanyola aliajir wamasai walinde watu wasipige chabo matokeo yake haohao wamasai ndo wakawa wanapiga chabo ikabidi watimuliwe wakazungushia ukuta usawa wa madirisha ikawa ndo kama wamerahisisha kaz kwa wazee wa chabo maana walikuwa wanaingia ndan ya ukuta wanachek muv la bureeeeew
Uliwafanyaje, nimeanza kukuogopa mshana[emoji23]Vibaka wezi hawa maarufu hawatakaa watokee tena.. Nina historia nao.. Mjushi anawafahamu vema kila mmoja kwa sekta yake
Morroco
Kumbwiga
Tito
Jumanne
Pembe
Walinitengeneza nami nikawatengeneza ngoma draw... Tukaenda sawa.. Sasa hivi wanakula bata akhera
Inaonekana mshana aliishi au anaishi huko.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] sana tuu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji3] [emoji3]
Nevada tandale sokoniNimeondoka hapo kitambo sanaa hivi ule uwanja wa spurs bado upo ,aise pale ilipigwa mechi moja Kali miaka ya 2001 Kati ya faru dume ya manzese na timu nyingine nimeisahau aise ile mechi baada ya firimbi ya mwisho tu uwanja ukageuka kuwa wa vita.
Amsterdam hapa uzuri makaburini ilikua timu ya fujo nayoNimeondoka hapo kitambo sanaa hivi ule uwanja wa spurs bado upo ,aise pale ilipigwa mechi moja Kali miaka ya 2001 Kati ya faru dume ya manzese na timu nyingine nimeisahau aise ile mechi baada ya firimbi ya mwisho tu uwanja ukageuka kuwa wa vita.
Mwananyamala imekua hivyo kwa sababu madon wale wa mjini kitambo sana ndio walikua wakiishi huko. Kuna don mkubwa sana wa kufoji documents zote za bandarini akiitwa For Cash alishafariki kitambo sana ndio alikua akiishi huko Mwananyamala B; baadae akina marehemu John Ngogo wote walikua pale kabla pesa haijakubali. Na mazungu ya unga yote makubwa enzi hizo waliishi Mwananyamala na Kinondoni. Na ma don kibao tu ughaibuni maskani yalikua Mwananyamala.Huku ughaibuni ni kama Mwananyamala ingine imemove tu huku tupo kibao. Undava wa hicho kitongoji umeanza kitambo sana. Coaster nyingi za mjini zilimilikiwa na madon wa huko na kinondoni akina marehemu Juma Jimmy Lover.Sifa nyingine ya mwananyamala,vijana wengi sana wamekimbilia South,wapo waliomaliza 10-20 yrs huko SOUTH.
Weng sana wapo Bondeni,hawana idadi
Usifike nilipata demu pande hizo chalii angu kuja nae home kimara asubuhu anataka abebe sukari mchele mafuta apereke kwao ndio ikawa mwanzo wakupenda mademu wa pande za njaa kali.keko tandale kigogo buguruni mademu wananjaa sanaNakaa Dar lakini sipafahamu Mwananyamala huwa nasikia tuu
Abajalo ni maeneo ya Sinza Makaburini/kwa RemiHivi Abajalo ilikuwa ni ya Mwananyamala pia?
Mungu anakupenda sana wewe jamaaDah.! Umenikumbusha mbali sana mkuu yaani tukisema kila mtu arudie kazi yake ya zamani...!
Mfano mimi nilikuwaga na washkaji flani tukawa tunaiba mafuta ya transformers ila sintosahau siku tulipoparamia transformer flani ghafla ulisikika mripuko wa ajabu kufumba na kufumbua mwenzetu mmoja alikufa pale pale mwingine alifia hospital kuanzia siku hiyo niliacha kabisa kazi hiyo.
Namshukuru Mungu sa ivi niko zangu Dom nna banda langu natengeneza na kuuza majeneza na maisha yangu yako fresh nimejenga,nimeoa na nnamiliki
"Kagari" japo ni kama kale ka Mr bean.[emoji1] [emoji1] [emoji1] maisha yana historia ndefu sana.
Mwananyamala mpaka wazee wa miaka 60 na wenyewe wakiongea lazima washushie na TUSI. Maeneo haya TUSI ni kama kiungo cha sentensi, utasikia KUMAMAEWALAI yaani TUSI linahusishwa na munguNinachowakubali wahuni wa mwananyamala wakikujua hawakukabi utaombwa ya fegi tuu..***** sasa uwe wa kuja shughuri utaipata...
Alafu watu wanajuana Kwa aina ya wizi utasikia furani huwa havunji Ila kama dirisha limekatwa nyavu huyu atakuwa flani tuu basi wananzengo wanamfata arudishe alichoiba kwa amani kabisa.
Umenichekesha sana, uswahilini miyayusho sana. Kuna jamaa angu alikuwa anakaa nyuma ya izi fremu zinazoangaliana na hospital ya mwananyamala alikuwa anapenda nyimbo za michiriku na minanda, sasa miaka ile ya 2000 pale makongo secondary alikuwa anapenda kuimba imba izo nyimbo kalibia na mti Mkubwa wa mbuyu maeneo ya hall ya mitihani, sasa siku iyo, anaimba imba na kimvua mvua kilikuwa kinapigapiga, akatokea afande mmoja anaitwa Miraji(Marehemu kwa sasa) akamuuliza wewe kijana njoo apa, na awo wote wanaosikiliza akamuuliza wewe pale mwananyamala tukipita na gari asubuhi na kukuta kituoni ni kwenu, jamaa kusema ndio afande akasema wote wanaojijua wanatoka kipande icho kaeni pembeni, kilichofata adhabu ya kwenda kufyeka, afande miraji akawa anasema nyinyi mlitakiwa muende bagamoyo mkajifunze sanaaKuna siku bado nipo mdogo nipo form two nimekatisha makaburini mwananyamala mda km saa mbili usk nakwenda CAMP (kujisomea na wanafunzi wenzangu ili uingie form three kuna wastani) nakatisha pale makaburin wametoka jamaa moja mbele yangu gafra tu mara huku nyuma wametokea jamaa wawili nikawa nipo katikat flani hivi ila bado kuna distance yanii awajanifikia wala sijawafika ila nishagundua hawa ni wandewa...sasa kwa mbali kunasikaka sauti ya mnanda(mchiriku) maeneo ya kwa kina mbamba huko chaukucha..nikaona dah leo nimekwisha sina simu, sina pesa ila wahuni awawezi kunielewa km mimi denti tu. fasta nikajitia kuimba wimbo wa mnada " washa shideo eeh shideo washa shideo eeh shideo huku naelekea mbele alipo yule mmoja wahuni wakabaki pending kama vile wanajiuliza huyu ng'ombe au mwenzetu??huyu muhuni mwenzetu au?? Wakiwa wamestuck nilikatisha katikati yao kama air force one[emoji125] [emoji125] [emoji125] vitendo vyote vilifanyika sekunde kadha kuwasoma na kuwaact na kutoka speed
Duh!nimekaa sana ghetto hiyo mitaa,kuna kichochoro flani matata sana kati ya ukuta wa mahakama na nyumba ya mzee Chidumule hapo wanachuo wa Tumaini wamekwapuliwa sana simu,laptops na hela kisha masela wanakimbilia kwenye madimbwi yale nyuma ya Kambangwa Sec.[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mkuu si pale nyumbani kwa kina amini yule muimba mziki.ray c ndo ilikuwa maskani watu wamemlalua sana pale kino mahakaman
Hapo kwenye huo uchochoro wa Chidumule ukinyosha, unapokata kona tu kuna saloon ya kike. Maajabu saloon yenyewe inahudumiwa na was.enge.Duh!nimekaa sana ghetto hiyo mitaa,kuna kichochoro flani matata sana kati ya ukuta wa mahakama na nyumba ya mzee Chidumule hapo wanachuo wa Tumaini wamekwapuliwa sana simu,laptops na hela kisha masela wanakimbilia kwenye madimbwi yale nyuma ya Kambangwa Sec.