Vituko vya Mugabe kwa Waandishi....

niliona hii katuni mwaka jana kwenya gazeti Obama anamuuliza Mubarak hilo sawali na mubarak akamjibu kama ilivyonukulia hapo juu
 
Hivi Majuzi Nilikua Zim, na katika moja ya Mkutano wake na waandishi wa Habari, Mr Zim RM aliwazingua waandishi kwa swali lao la kizushi na akawapa majibu ya Kizushi

Mwandishi:

Mr President, When are you going to say Goodbye to your People?

Mugabe:

Where are they Going?

Yes that is a best question's Question!!!!!!!! Bravo Jongwe Mugabe
 
FANTASTIC JOKE............Viongozi wa kiafrica na wa kiarabu mara nyingi wanapenda kuishi milele madarakani
 
Back
Top Bottom