Vituko vya Mugabe kwa Waandishi....

Vituko vya Mugabe kwa Waandishi....

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,268
Hivi Majuzi Nilikua Zim, na katika moja ya Mkutano wake na waandishi wa Habari, Mr Zim RM aliwazingua waandishi kwa swali lao la kizushi na akawapa majibu ya Kizushi

Mwandishi:

Mr President, When are you going to say Goodbye to your People?

Mugabe:

Where are they Going?
 
to hell.
 
anaweka super black kila siku hawezi kwenda huko, kuna wakati aliambiwa amefungiwa kushiriki Paris Club akasema ....of course there are many CLUBS to go leave alone the Paris Club
 
Nampenda sana babu mugabe, naona grace kamuongezea sana siku za kuishi akimfariji ipasavyo
 
Hivi Majuzi Nilikua Zim, na katika moja ya Mkutano wake na waandishi wa Habari, Mr Zim RM aliwazingua waandishi kwa swali lao la kizushi na akawapa majibu ya Kizushi

Mwandishi:

Mr President, When are you going to say Goodbye to your People?

Mugabe:

Where are they Going?

Jongwe juu.

The only True Son of Africa in the game....
Teh teh teh.....
 
Robert Gabriel Mugabe sio dhaifu kama Jakaya Mrisho Kikwete
Hivi Majuzi Nilikua Zim, na katika moja ya Mkutano wake na waandishi wa Habari, Mr Zim RM aliwazingua waandishi kwa swali lao la kizushi na akawapa majibu ya Kizushi

Mwandishi:

Mr President, When are you going to say Goodbye to your People?

Mugabe:

Where are they Going?
 
sina hakika kama ni wa kusifi hivi.

Alipigania uhuru? Ndio, mchango wake unakubalika? Ndio, je ameweza kuwafikisha wazimbwabwe watakapo? Sidhani, je yeye ndio anafaa kuongoza hadi kufa? Hapana.

Kama Fidel Castro, anamteua kaka yeye yuko kitandani.
 
walau amekua na uthubutu

Back
Top Bottom