Vituko vya msimu huu wa sikukuu.

Vituko vya msimu huu wa sikukuu.

Wissman

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2014
Posts
1,034
Reaction score
1,319
Vyuma vimeachia toka tuambiwe kusema vimekaza ni marufuku, kuonyesha kwamba watu wapo vizuri wengi waliamua kufanya yao kujisahaulisha baadhi ya mambo yanayoendelea hapa nchini kwa muda hasa kwa kipindi hichi cha kusheherehekea sikukuu za Christmas na mwaka mpya. Wiki ya kwanza imeanza na Christmas na watu wamejiachia vilivyo.
Tupia picha ya kituko chochote kilichotokea katika msimu huu.. Mi naanza kama hivi.
IMG-20171227-WA0000.jpeg
IMG-20171227-WA0002.jpeg
IMG-20171227-WA0003.jpeg
IMG-20171226-WA0001.jpeg
 
Hao wanne itakuwa moshi tu kuna familia ukipisha odi unapewa mizinga 3 alafu chakula ukale kwenu!
 
Back
Top Bottom