Sasa Prof Mshana mfano katika mishe zako haijawahi kutokea labda maiti ikakuongelesha labda? maana ni kituko pia Mimi kule nimeingia kama mara mbili lakini nikiwa tayari nimeisha jiunga tayari na ka kiroba changu.Na kuna moja nilitaka kuikanyaga
Anyway, siku niliyoinga mochwari kutambua maiti, kidogo nitoe mikojo. Pale mahali ni pagumu, panatisha na kuogofya. Sijui wale attendants wana roho za namna gani.!!!
Anyway, siku niliyoinga mochwari kutambua maiti, kidogo nitoe mikojo. Pale mahali ni pagumu, panatisha na kuogofya. Sijui wale attendants wana roho za namna gani.!!!