HarakatiNews
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 218
- 187
Sina nia ya kubeza utendaji wa mkuu huo wa mkoa lakini tangu aanze kazi vituko vyake vinashangaza umma kwa kuwa viko vingi.baadhi katika picha na video nitakuwa nakuletea kimoja baada ya kingine.Hapa ni ili utazame kama kweli tunahitaji kuwa na vyeo hivi vya wakuu wa mkoa.
1:Mkuu wa Mkoa abomoa ngome ya CHADEMA Rutoro
Hii ni habari kubwa iliyopewa kipaumbele na redio za kijamii pamoja na mitandao ya mkoani kagera,kwamba alipofika katika ziara ya kutatua mgogoro wa ardhi katika eneo hilo pamoja na mambo mengine ametumia nafasi hiyo kuomba walioko upinzani kurejesha kadi zao na waliohitikia walizikusaya na kumpatia.kwamba hati kusikia habari za upinzani katika mkoa wake.Tazama picha
2:RC mpya Kagera afuta siku ya Usafi iliyoanzishwa na RC Masawe
Mkuu mpya wa Mkoa John Mongela amefuta uatartibu wa kufanya usafi kila alhamisi ulioasisiwa na mtangulizi wake Fabian Masawe.Amekaririwa akisema 'kazi ya kuafanya uasafi ni ya mabwana na mabibi afya' siwezi kufanya uasafi mimi,nina majukumu ya maana.
3:
Vituko vipo 35.Nitakuwa nakupalia kimoja baada ya kingine
Uthibitisho hautoshi weka picha zaidi hapo sijaona kituko bado hebu weka picha tena.
huyo ni mtoto wa Kada wa Chama Getrude Mogella unategemea nini? nasikia anatukana ile mbaya.huyo atakaa na mbabe Kagasheki?
umemuona ee? mgeni huyu hovyo kabisa.unavuta sigara gani mkuu?