Vituko vya Mkuu mpya wa Mkoa Kagera John Mongela

HarakatiNews

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
218
Reaction score
187
Sina nia ya kubeza utendaji wa mkuu huo wa mkoa lakini tangu aanze kazi vituko vyake vinashangaza umma kwa kuwa viko vingi.baadhi katika picha na video nitakuwa nakuletea kimoja baada ya kingine.Hapa ni ili utazame kama kweli tunahitaji kuwa na vyeo hivi vya wakuu wa mkoa.

1:Mkuu wa Mkoa abomoa ngome ya CHADEMA Rutoro
Hii ni habari kubwa iliyopewa kipaumbele na redio za kijamii pamoja na mitandao ya mkoani kagera,kwamba alipofika katika ziara ya kutatua mgogoro wa ardhi katika eneo hilo pamoja na mambo mengine ametumia nafasi hiyo kuomba walioko upinzani kurejesha kadi zao na waliohitikia walizikusaya na kumpatia.kwamba hati kusikia habari za upinzani katika mkoa wake.Tazama picha
rt%2B3.jpg

2:RC mpya Kagera afuta siku ya Usafi iliyoanzishwa na RC Masawe
Mkuu mpya wa Mkoa John Mongela amefuta uatartibu wa kufanya usafi kila alhamisi ulioasisiwa na mtangulizi wake Fabian Masawe.Amekaririwa akisema 'kazi ya kuafanya uasafi ni ya mabwana na mabibi afya' siwezi kufanya uasafi mimi,nina majukumu ya maana.

3: Kituko no 3:
Mkuu wa Mkoa wa Kagera ameagiza watumishi wote wa ofisi yake bila kujali dini zake kushiriki katika suala la usafi wa jumuhiya kila JUMAPILI kuanzia saa 1:30 asubuhi katika hospitali ya mkoa.kila mtumishi afike na jembe,fagio nk. agizo hilo limeanza utekelezwa licha ya waumini wa dini ya kikristo kulalamikia hali hiyo

4:Kituko no 4
Mkuu wa mkoa jana ametangaza rasmi kuwa yeye ni mkuu bora kuliko waliomtangulia,anawashangaa kwa kutoleta maendeleo ya kagera kama atakavyofanya yeye....

Vituko vipo 35.Nitakuwa nakupalia kimoja baada ya kingine
 
huyo ni mtoto wa Kada wa Chama Getrude Mogella unategemea nini? nasikia anatukana ile mbaya.huyo atakaa na mbabe Kagasheki?
 
analipiza kisasi mama yake alishindwa Ukerewe kwa kuangushwa na CDM
 
anajifunza kazi akipevuka ataacha, sasa anataka atambuliwe kuwa yeye yupo tena mkoa wa kagera.
 
Uthibitisho hautoshi weka picha zaidi hapo sijaona kituko bado hebu weka picha tena.
 
duh...huyo mwenye kofia ni nani ??? Anafanana na kale kafisad flan kana hotel pale Bagamoyo....alilosti lkn akajiingiza CCM sasa sitashangaa huko ni kwao !!
Sina nia ya kubeza utendaji wa mkuu huo wa mkoa lakini tangu aanze kazi vituko vyake vinashangaza umma kwa kuwa viko vingi.baadhi katika picha na video nitakuwa nakuletea kimoja baada ya kingine.Hapa ni ili utazame kama kweli tunahitaji kuwa na vyeo hivi vya wakuu wa mkoa.

1:Mkuu wa Mkoa abomoa ngome ya CHADEMA Rutoro
Hii ni habari kubwa iliyopewa kipaumbele na redio za kijamii pamoja na mitandao ya mkoani kagera,kwamba alipofika katika ziara ya kutatua mgogoro wa ardhi katika eneo hilo pamoja na mambo mengine ametumia nafasi hiyo kuomba walioko upinzani kurejesha kadi zao na waliohitikia walizikusaya na kumpatia.kwamba hati kusikia habari za upinzani katika mkoa wake.Tazama picha
rt%2B3.jpg

2:RC mpya Kagera afuta siku ya Usafi iliyoanzishwa na RC Masawe
Mkuu mpya wa Mkoa John Mongela amefuta uatartibu wa kufanya usafi kila alhamisi ulioasisiwa na mtangulizi wake Fabian Masawe.Amekaririwa akisema 'kazi ya kuafanya uasafi ni ya mabwana na mabibi afya' siwezi kufanya uasafi mimi,nina majukumu ya maana.

3:

Vituko vipo 35.Nitakuwa nakupalia kimoja baada ya kingine
 
Kati ya mikoa migumu kukaa ukijifanya mjuaji wakati wewe ni mgeni ni Kagera hasa hapo Bukoba mjini na vijijini....Wahaya ile tabia yao ya Nshomile siyo kuwa imeisha hivihivi...jamaa wana mitandao mirefu watakufatilia hadi mwisho na utang'oka tu.
Mifano ipo...kuna afsa elimu wa idara ya sekondari alikuwa Bukoba vijijini anaitwa Yassin almaarufu kama KITENTYA, kutoka Kigoma jamaa alikuja na mbwembwe akiapa kukomesha wahaya mwisho wa siku kahamishiwa wilaya mpya huko Simiyu na barua za onyo kibao...

Waliokuja wakawa simple kama afsa elimu wa mkoa ni miaka kibao sasa wapo na wakitoka wengi wataumia maana ni watu wa watu...
 
nawadharau sana wakuu wa mikoa,kazi yao ni kufanya vikao vya ccm kwenye kumbi za ofisi za mikoa bila kulipia na wanalazimishaga chakula cha vikao vya hayo majambazi zilipwe kutoka fedha za serikali..ni takataka kabisa,wakuu wa wilaya ndio wapuuzi kabisa,hulazimisha madreva kusaini leja za mafuta kwenye vituo vya mafuta wakati mafuta wamepewa makada wa ccm,wenye misimamo hukataa na kutuletea habari za wizi kama huu!ccm ni majizi na ushahidi upo mwingi tu..
 
Si huyu Jamaa ndiye alijinajibu kuwa amezaliwa kwenye siasa; na Kwamba atawanyoosha wahaya. Ebu wakina Byarugaba & Mtaremwa na Rwakatale kula nae sahani moja.Ndg zangu Ishomile si kama wale wa zamani waliobaki ni wapiga madili tu.
 
Namuonea huruma amuulze mwenzie makongoro mahanga kilichomkuta jana.
 
Hivi mkuu wa Mkoa ni mwanasiasa!! Pindi unapoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa unatakiwa kuwa neutral ili uweze kusimamia kila chama mkoani mwako!! Je vyama vingine vya upinzani vikimkataa atajilaumu!! Hao ndio wanasababisha vurugu wanaanza kusingizia upinzani!! Acha hiyo Tabia Mongela....
 
Nchi hii wengine kwa kweli tunaona aibu hata kuwa tumezaliwa humu.Yaani uongozi umekuwa dili sasa.Sio uwezo.Ukiwa mtoto wa kigogo na wewe ni kigogo,hata ukiwa kilaza.Hatufiki.Kikwete ndugu yangu, unatupeleka wapi?Yaani umeziba masikio husikilizi ushauri wa wananchi wako kabisa.Mmm,kazi kweli.Nchi inaangamia hii.Hivi wewe huoni?
huyo ni mtoto wa Kada wa Chama Getrude Mogella unategemea nini? nasikia anatukana ile mbaya.huyo atakaa na mbabe Kagasheki?
 
haya majinga mengine yanadharau haya jawahi kwenda shuleni na miche ya mihogo,ndoo,mawe ya bustani,na mbolea kiroba ni ya kutia adabu yawekeeni mitego kwenye uchaguzi mkuu
 
Sina nia ya kubeza utendaji wa mkuu huo wa mkoa lakini tangu aanze kazi vituko vyake vinashangaza umma kwa kuwa viko vingi.baadhi katika picha na video nitakuwa nakuletea kimoja baada ya kingine.Hapa ni ili utazame kama kweli tunahitaji kuwa na vyeo hivi vya wakuu wa mkoa.

1:Mkuu wa Mkoa abomoa ngome ya CHADEMA Rutoro
Hii ni habari kubwa iliyopewa kipaumbele na redio za kijamii pamoja na mitandao ya mkoani kagera,kwamba alipofika katika ziara ya kutatua mgogoro wa ardhi katika eneo hilo pamoja na mambo mengine ametumia nafasi hiyo kuomba walioko upinzani kurejesha kadi zao na waliohitikia walizikusaya na kumpatia.kwamba hati kusikia habari za upinzani katika mkoa wake.Tazama picha
rt%2B3.jpg

2:RC mpya Kagera afuta siku ya Usafi iliyoanzishwa na RC Masawe
Mkuu mpya wa Mkoa John Mongela amefuta uatartibu wa kufanya usafi kila alhamisi ulioasisiwa na mtangulizi wake Fabian Masawe.Amekaririwa akisema 'kazi ya kuafanya uasafi ni ya mabwana na mabibi afya' siwezi kufanya uasafi mimi,nina majukumu ya maana.

3:

Vituko vipo 35.Nitakuwa nakupalia kimoja baada ya kingine

Hivi Karamagi kamrudishia Mkewe. Maana Karamagi alimpokonya mke huyo
 
Back
Top Bottom