Vituko vya mama mwenye nyumba nimevichoka

mpotezee tu kuwa busy na mambo yako tena kama umelipa odi ishi kwa kujiamini na usionekane home muda woote kama mama wa nyumbani jitahidi kurudi mida ambayo mume wake yuko home
 
Mtoa uzi usipuchukua ushauri huu, elewa by any means unaenda kuteketea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri mzuri kabisa huu!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Omba ushauri kwa mumewe.....
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi binafsi nauita huu ni ushamba
Tujifunze kusonga mbele kila mmoja anakaburi lake ambalo likifukuliwa basi hutasaidika kwingine
Kwa nn tusiendane na mada iliyopo?
Okk kama kaachana na mkewe na ndo kaenda kupanga kapatwa na hilo je? Hawezi kusaidika kwa kigezo cha kufungwa na nyuzi zilizopita?

Si tabia nzuri saidia jambo kama lipo ndani ya uweo wako usiwe mwaribifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…