Nimecheka sanaHuu uzi ni kwa ajili ya kuwaenzi mafundi Ujenzi ambao wanafanya vituko na kuharibu kazi, sijui ni kwamakusudi au wateja wao ndio wanakua wametaka hivo.
1. Nyumba
2. Barabara
View attachment 1534032
Nenda geita hii utaikuta lodge inaitwa BUKENYE LODGE