Chagua litakalokufaa, ili ujumbe ufike.Ni Maandazi Republic au Banana Republic Mkuu? Chagua kwanza moja hapo ili tujadili. Tanzania yetu sote,tutakwenda mbele tu hata kwa kukosoana na kuelekezana
na ndio kwanza 1/10. si mchezoMbona malalamiko yamekuwa mengi na bado mapema sana?
Kuna viongozi ambao wamejifungia ndani hawataki kwenda nje wakajifunze angalau kidogo, wengine wana mawazo ya kizamani, they live in their own bubble ya kuamini mzungu mbaya, matajiri wabaya, hate hate hate, kila kitu kidogo ni hasira. Na hata wakiomba kura watapewa tena na tena kwa kua wananchi asilimia kubwa wapo kwenye the same bubble, kati ya wapiga kura wote unaweza kuta 20% tu ndio wanajielewa, wengine wote wanaamini propaganda. Its a really tough battle.