Vituko Vya Kwenye Mabasi ya DalaDala!!!!!

Vituko Vya Kwenye Mabasi ya DalaDala!!!!!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
Katika daladala mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto wake.

Mtoto akakataa!


Mama akamwambia "nyonya


kama hutaki nampa Anko anyonye" (Anko ni kaka mmoja abiria aliyekaa na huyo mama pembeni).


Mtoto akanyonya kidogo akaacha!


Mama akamtishia tena kumpa Anko!


Ndipo yule kaka kwa hamaki akasema ''Mama uwe na msimamo. Unajua nimepitiliza vituo

vinne kwa ajili yako, hebu kuwa mkweli! Utanipa ninyonye au nishuke?"


Je wewe Unashauri vipi kuhusu huyu (Anko)?aendelee na basi au ashuke???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom