Vituko vya kwenye Daladala

Digital Marketer

Senior Member
May 1, 2019
112
149

Hii ni thread special kwa vituko vya daladala

Leo bhana....
Yale maeneo ya Gongo la mboto..gari ya posta mnazi ikawa imefika....kwakeli nashukuru nilipanda mwanzoni uko....

Limefika tu...wajameni wakadandia mlango...konda afungui kwasababu lulikua na traffic....

Watu wamedandia tu...mara konda akafungua mlango....

Nikategemea watu wataingia...ila chakushangaza wamebaki wanavutana pale malangoni kama dakika kumi hivi...akuna anaeingia...

Kiukweli nilishindwa vumilia ikabidi nicheke...na jirani yangu akaanza kucheka....

Kwakweli sio poa kugombania magari....sijui ni serikali ama watu binafsi waliangalie ili swala la USAfiri wa Gomez....

Ila kiukweli daladala kuna vituko....hata nikipata usafiri binafsi laZima nidandie daladala mara moja moja nicheke....

Haya zamu yenu sasa...andika kituko cha daladala tuongeze maisha ya kuishi.
 
Zamani tulikuwa tukipandia banana tunaenda nazo hadi mwisho wa lami na kugeuza nazo hadi kongo-Enzi za coaster (lakshari)pugu kariakoo
 
nilipigwa ki pepsi cha mdomo katka purukushani, jamaa akawah akapata seat kuingia akaniomba msamaha akanipisha kwenye kiti akataka kunipa hela nikamwambia asihof, nashuka mawenzi mdomo km jaba naingia saloon wa dada wanacheka, nikatoka.
 
Mwaka gani hili tukio ndugu..?
 
nilipigwa ki pepsi cha mdomo katka purukushani, jamaa akawah akapata seat kuingia akaniomba msamaha akanipisha kwenye kiti akataka kunipa hela nikamwambia asihof, nashuka mawenzi mdomo km jaba naingia saloon wa dada wanacheka, nikatoka.

Similar Discussions

Back
Top Bottom