Vituko vya kp

Mkuu nikionaga hii Avatar najua Gamba Damu damu, anyway napita tu
 
Kama ukweli mtupu japo imewekwa kimasiara
 
Shine! political cartoons hazijapata kuwa masihara.
Otherwise KP ni mwiba kwa watawala

Kipanya sio mchumia tumbo anathamini uzalendo na kuipenda nchi yake; hana unafiki!!
 
Sio Vituko Vya KP! Sema Up*****zi wa Masoud Kipanya ndipo utaeleweka!
 
kp nae atakua mwanaharakati wa aina yake kwa hivi vitu anavyotupa
 
kp huna muda watakununua tu hao endeleza tu maujumbe yenye kero za kimagamba...
 
alex kipanya ni habari nyingine. infact ni mmoja wa wachora katuni waliopeleka katuni katika level ya juu iliyopo sasa. kumbuka kipindi cha uchaguzi wa ubunge temeke kati yaLyatonga mrema na cisco mtiro. alichangia sana ccm kushindwa, na pia akaja akaanza kuwabana viongozi waDar kipindi kile marahemu Dito akiwa RC hadi Dito na ujanja wake wote akasalimu amri na kuomba sit down na Kipanya, cha ajabu jamaa alipotoka kwenye kikao hico akaibuka na kikatuni kikimcheka Dito na kumwambia kuwa moto ni ule ule. huyu kununuliwa ni baadaye sana. anyway Keep it Kipanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…