mushi kweka
Member
- Jun 25, 2013
- 7
- 1
Anaongozaje jimbo lake ikiwa hana nyumba huko bumbuli?
Huyu jamaa kaniboa sana kimaadili na mambo aliyofanya Tanga mjini.

kuna tetesi nliwahi kuskia mahali, eti mama yake alikuwa mwanafunz wa baba yake (mzee makamba). kisa cha mzee yusuf makamba kutimuliwa kazi ya ualimu enzi hzo eti ni kumtia ujauzito mwanafunz ambaye ndo mama wa january.
Too personal kaka! vaa viatu vya watoto wa Makamba na upo jf
Jamani naibu waziri wa mawasilano Mh January Makamba kumbe hana nyumba ya kuishi kwenye jimbo lake anafikia hotelini na kufanya kazi zake hotelini na kuondoka Dar es saalam huwa anafikia Lushoto .
Mwenye data atupie hapo
kuna tetesi nliwahi kuskia mahali, eti mama yake alikuwa mwanafunz wa baba yake (mzee makamba). kisa cha mzee yusuf makamba kutimuliwa kazi ya ualimu enzi hzo eti ni kumtia ujauzito mwanafunz ambaye ndo mama wa january.
Jamani naibu waziri wa mawasilano Mh January Makamba kumbe hana nyumba ya kuishi kwenye jimbo lake anafikia hotelini na kufanya kazi zake hotelini na kuondoka Dar es saalam huwa anafikia Lushoto .
Mwenye data atupie hapo
FYI, ukishakuwa public figure, personal stuffs zako zinakuwa of public interest. kama umekwazika, zoea tu. mbona hushangai ya Nape na tamthiliya ya baba yake??
kuna tetesi nliwahi kuskia mahali, eti mama yake alikuwa mwanafunz wa baba yake (mzee makamba). kisa cha mzee yusuf makamba kutimuliwa kazi ya ualimu enzi hzo eti ni kumtia ujauzito mwanafunz ambaye ndo mama wa january.
inakuhusu nn ulitaka akafikie kwa baba yako? Leta hoja ya msingi toa ujinga hapaJamani naibu waziri wa mawasilano Mh January Makamba kumbe hana nyumba ya kuishi kwenye jimbo lake anafikia hotelini na kufanya kazi zake hotelini na kuondoka Dar es saalam huwa anafikia Lushoto .