hicho kibinti cha iringa?
Kwan mahausi geli wote wanatoka Iringa tuuu??? Acha kuongea upupu ka mafisadi.:hippie:
Nyie watu wachokozi mie nakaa kimya no comment.....Yaani nichakachue housegirl aaahhh mmnidhalilisha aisee. Sijawahi
Nyie watu wachokozi mie nakaa kimya no comment.....Yaani nichakachue housegirl aaahhh mmnidhalilisha aisee. Sijawahi
bucho haraka hizo hapo kwenye bold
Jamani hii imenichekesha sana jana wakati nimerudi home toka kazini house girl wangu akaniambia eti kuna kijana wa nyumba ile ya jirani kanambia you are very handsome!!!! Nikamuuliza unaelewa maana yake akaniambia alivyoniambia hivyo mie nikakimbia nikarudi ndani.