Basi Nenda JF-Expert Member Jul 29, 2017 20,175 45,898 Oct 19, 2018 #2 Hiyo app ni msaada mkubwa mno kwangu Imenisaidia kusoma articles za kifaransa na kuchat na watu wanaozungumza kifaransa
Hiyo app ni msaada mkubwa mno kwangu Imenisaidia kusoma articles za kifaransa na kuchat na watu wanaozungumza kifaransa
Salahan JF-Expert Member Sep 10, 2014 2,942 3,607 Oct 19, 2018 #3 MKUU GOOGLE INATUWEZESHA KUNUNUA MITANDAO YA LUGHA ISIYOKUWA ENGLISH AU KISWAHILI
Stephen Ngalya Chelu JF-Expert Member Oct 31, 2017 7,621 16,373 Oct 20, 2018 #4 Kwenye lugha kama kifaransa, english na kijerumani wako vizuti ila kwenye kiswahili ni bure kabisa.
Mbobo JF-Expert Member Jan 13, 2017 1,380 1,800 Oct 20, 2018 #5 iyo mpaka ikupe hitaji lako unapaswa kuandika kiswahili fasaha kabisa LA sivyo utapata mambo Kama hayo
iyo mpaka ikupe hitaji lako unapaswa kuandika kiswahili fasaha kabisa LA sivyo utapata mambo Kama hayo
mkorinto JF-Expert Member Jun 11, 2014 30,703 37,317 Oct 20, 2018 #7 Google haijalibiwi,ukiijaribu ndio umeharibu kabisaa.
gudaa Member Dec 31, 2013 31 11 Oct 4, 2021 #8 salaniatz said: MKUU GOOGLE INATUWEZESHA KUNUNUA MITANDAO YA LUGHA ISIYOKUWA ENGLISH AU KISWAHILI Click to expand... kama ipi chief ?
salaniatz said: MKUU GOOGLE INATUWEZESHA KUNUNUA MITANDAO YA LUGHA ISIYOKUWA ENGLISH AU KISWAHILI Click to expand... kama ipi chief ?
S Somi JF-Expert Member Feb 7, 2009 3,605 4,360 Oct 6, 2021 #10 Hio Ndio inaitwa AI ( artificial intelligence) Inasaidia sana Kwenye mawasiliano ya lugha tofauti. Hapo Kwenye sentensi ya kutafsiriwa ukikosea spelling inakupa mapendekezo yake inayoona yataleta usahihisho
Hio Ndio inaitwa AI ( artificial intelligence) Inasaidia sana Kwenye mawasiliano ya lugha tofauti. Hapo Kwenye sentensi ya kutafsiriwa ukikosea spelling inakupa mapendekezo yake inayoona yataleta usahihisho
Kurunzi JF-Expert Member Jul 31, 2009 9,285 9,922 Oct 9, 2021 #15 Kwwnye baathi ya sentensi inatafrisi words ila na wakati mwingine unatafsiri aideas
C CRYPT JF-Expert Member Jan 26, 2014 329 673 Oct 10, 2021 #16 Waterbender said: tumepigwa Click to expand...