Hili neno sijalisikia for a long time 'bimbo', bosi wetu alikuwa na neno lingine kama mtu haelewi kwa haraka 'our resident blond'.hii kali, huyo mwanamke lazima ni bimbo
Mkuu umenifundisha mbinu mpya ya kuua soo na senksi nimekupa.
Mkuu nashukuru kwa kutoa mbinu mbadala za cheating.
Kupenda hela kunapunguza reasoning ya baadhi ya watu.......:coffee: