Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa

Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa

Jf kuna miwatu miongo mno. Hafu ipo inayopenda mambo ya kishirikina sana, niliacha kusimulia habar za hivi baada ya watu kunisumbua niwatafutie mganga wa pesa za ndagu. Niksachana na mambo haya. Nadhani mkuu pm yako imefurika wapige tu
Ukifika Mwanza nenda Bungando kwa kutumia barabara usikatishe vichochoroni, kuna kona utaiona na utagundua hakukuwa na sababu ya msingi ya kuwepo pale. Kisha njoo uendelee kubishana.
 
Tell them mkuu
Nimemwomba anayebisha aende Bugando halafu atupe sababu ya msingi ya ile kona lakini naona naye kala kona. Lakini nadhani wengi tulikuwa watu wazima tuliposikia habari za kaburi la Kiyeyeu huko Ismani Iringa na jinsi miaka ya nyumba ilivyoshindikana kuhamishwa pembeni mwa barabara hadi familia ilipoombwa na Serikali ya awamu ya nne.
 
KONA YA BIBI FISI!

1533996320410.png
 
Umenikumbusha mbali

Nilikua nikipita ile njia aliyokua akiishi Bibi Fisi nikiwa naenda kwa shangazi yangu Igogo kutokea Mabatini

Nakumbuka upande wa pili wa barabara kulikua na kichuguu kikubwa.
Ulikuwa huogopi mkuu?
 
Back
Top Bottom