Inawezekana pia walianza nae mbereHuyu mwamba record zangu kichwan cku zote namchukulia km alishakufa, cjui kwa nn hyu Mzee namwona km alishatangulia mbele ya haki
Kuna point unajuta kwanin umekua mwafrika kuna mambo sis ngozi nyeusi sis tunafanya ya hovyo sanaGrereza la Kober analoshikiliwa aliyekuwa rais wa Sudan,Omar Albashir limevunjwa na mahabusu wote kukimbia. vikundi vinavyopigana kila kimoja kionesha kutokuwa na uhakika wa sehemu alipo kiongozi huyo wa zamani anayetafutwa na ICC.
jeshi la Sudan lchini ya generali Burhani limesema kiongozi huyo walimuhamisha mapema kumpeleka hospitali ya jeshi kweny ulinzi mkali. wakati huo huo upande wa generali Dagalo umesema jeshi hili limemtorosha ili kumrudisha madarakani.
Mmoja wa mahabusu hao wanaotafutwa na ICC aiitwaye Ibrahim anasema baada ya gereza hilo kupigwa na makombora na kukosa huduma za chakula na maji ilibidi yeye na wenzake waondoke kwa ajili ya usalama wao..Hata hivyo hakumtaja Omar Albashir kuwa alikuwa miongoni mwao.Amesema yeye amependa ajisalimishe kwenye kituo chochote cha polisi lakini vituo vyote amekuta havifanyi kazi.
Video moja ya mtandaoni imewaonesha mahabusu hao wakiwa wamebeba mikoba yao kuingia mitaani baada ya gereza hilo kuvunjwa.
Kwamba kila asiyekua ngozi nyeusi au asiye kuwa mwafrika ndie anayefanya kwa usahihi kuliko wote?Kuna point unajuta kwanin umekua mwafrika kuna mambo sis ngozi nyeusi sis tunafanya ya hovyo sana
Wasudani sio Waafrik mkuu ,hakuna Mwafrika mwenye roho za aina Ile...labda Waafrika walioiga tqmaduni zao!Kuna point unajuta kwanin umekua mwafrika kuna mambo sis ngozi nyeusi sis tunafanya ya hovyo sana
Hapana angalia inchi za afrika hali ilivyo na inchi za watu weupe hawako perfect ila wako mbali sana tofauti na mwafrikaKwamba kila asiyekua ngozi nyeusi au asiye kuwa mwafrika ndie anayefanya kwa usahihi kuliko wote?
๐๐๐ฐ๐๐ณ๐จ ๐ฒ๐ ๐ค๐ข๐ฉ๐ฎ๐ฎ๐ณ๐ข, ๐๐ฆ๐๐๐ฎ๐๐ญ๐ข๐ฅ๐ข๐ ๐๐๐ฎ๐ฉ๐ ๐ฎ๐ค๐๐จ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ฉ๐จ ๐๐๐ก๐ข๐ก๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ฆ๐๐จ ๐ฒ๐จ๐จ๐ญ๐, ๐๐๐ก๐ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐ฌ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ก๐!!Kuna point unajuta kwanin umekua mwafrika kuna mambo sis ngozi nyeusi sis tunafanya ya hovyo sana
Sio upuuzi angalia inchi za kiafrika zilivyo labda kwa sababu hujawah tembea nchi tofauti tofauti siku ukitembea utakubaliana na mim๐๐๐ฐ๐๐ณ๐จ ๐ฒ๐ ๐ค๐ข๐ฉ๐ฎ๐ฎ๐ณ๐ข, ๐๐ฆ๐๐๐ฎ๐๐ญ๐ข๐ฅ๐ข๐ ๐๐๐ฎ๐ฉ๐ ๐ฎ๐ค๐๐จ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ฉ๐จ ๐๐๐ก๐ข๐ก๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ฆ๐๐จ ๐ฒ๐จ๐จ๐ญ๐, ๐๐๐ก๐ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐ฌ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ก๐!!
๐๐ข๐ณ๐ข ๐ฆ๐๐ฆ๐๐จ ๐ณ๐ ๐๐ข๐ญ๐ ๐ง๐ ๐ฏ๐ฎ๐ซ๐ฎ๐ ๐ฎ ๐ณ๐ข๐ฉ๐จ ๐ญ๐๐ง๐ ๐ฎ ๐๐ฎ๐ง๐ข๐ ๐ข๐ฎ๐ง๐๐ฐ๐!!
Hii inawezekana kabisa ๐๐ฝInawezekana pale lilikuwepo jina tu yeye yuko Misri au Morocco anakula mema aliyoiba
Haijashindwa kumkata, kuna uwezekano mkubwa RSF walikuwa wanamkingia kifua kwa sababu angewaunganisha nao katika jinai zake, RSF ndio walikuwa mkono wake muhimu kufanya uhalifu wake, hawezi kufungwa yeye makamanda wake wakabaki salama.ICC imeshindwa kumkamata Omar Albashir halafu eti inamtaka Putin!
Kwa usalama wake kama hajatoka bora aende huko.Watu wake hawatabiriki wanaweza wakamfanya kam walivyofanya kwa Ghadafi. Aende huko ajifiche mpaka siku ya kifo.Inawezekana pale lilikuwepo jina tu yeye yuko Misri au Morocco anakula mema aliyoiba