Waliokusababishia ile njaa walikukomesha. Ningekuona ningecheeeka basi tu na mie na majanga yanguNoma sana, njaa kama ya Ijumaa usiku
Waliokusababishia ile njaa walikukomesha. Ningekuona ningecheeeka basi tu na mie na majanga yangu
Hii comment umeitoa wap tena?
Wabaya sana hao watuhalafu walipoondoka wao hata sikuelewa uelekeo wao.
ila yule mzee kanichekesha sana watu wanamuita dada nunua skin tait mzee anajibu asante sana kwa ushauri
Huo ni uzi kabisa sio comment waliomwanzishia mzeeHii comment umeitoa wap tena?
SIKUUNGWA I'D ILA NI UZI WANGU ULIUNGANISHWA NA HUYO IMPOGO COZ ALILETA UZI UNAOENDANA NAWANGU AU HUJAWAH KUONA NYUZI ZIKIUNGWA HUKU JF KARIBU JF KAMA UNA SWALI JENGINE NJOO NIKUJIBU CC
CC Palantir
Ukhuty kavunja rekodi leo kwa kuandika bandiko refu kwa mara ya kwanza.