Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
Haya weeh! Hivi nyoka unamjua kweli weye?Nyoka hawa

Mmmmmh... Kwa hivyo hawa ni nyoka au binadamu?!
Huyu dada hana mvuto kabisa!
Angalia picha hizi tulizo zichukua usiku kwenye sherehe fulani ambapo wadada hawa wakionyesha furaha yao huku wakijidhalilisha mbele ya kadamnasi huku wakiwa wamelewa chakali.
mwanadada akionyesha uwezo wake wa kukatika kihasarahasara
Madada ma nyakati hizi za utandawazi mnatakiwa kubadilika na kujiheshimu,maana wadada wengine ni watu wazima lakini wanafanya mambo kana kwama ndio wanaanza kukua.
Mikao gani iyo dada
-------------------------------------------------------------------------Ni wakati wa kinadda kubadilika na kufanya kazi na sio kujidhalilisha namna hii,kwani mwanamke nikiumbe cheny uwezo mkubwa wa kufiri na kufanya maamuzi, ila kama hatukua ni mtu wa kukaa chini na kufikiria.
Ona sasa kufuli nje
![]()

Haijaisha mkuu, imechakaa na kuchafuka!
Mazee Nyoka ndo niaje?
Wengine twatulia nyumbani, hebu shangaaa!
kizazi cha nyoka