Vituko na VIOJA vya DADA Zetu Nyakati za USIKUUUU

Vituko na VIOJA vya DADA Zetu Nyakati za USIKUUUU

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
IMG.JPG



mwanadada akionyesha uwezo wake wa kukatika kihasarahasara







Madada ma nyakati hizi za utandawazi mnatakiwa kubadilika na kujiheshimu,maana wadada wengine ni watu wazima lakini wanafanya mambo kana kwama ndio wanaanza kukua.
Angalia picha hizi tulizo zichukua usiku kwenye sherehe fulani ambapo wadada hawa wakionyesha furaha yao huku wakijidhalilisha mbele ya kadamnasi huku wakiwa wamelewa chakali.
Mikao gani iyo dada


-------------------------------------------------------------------------
Ni wakati wa kinadda kubadilika na kufanya kazi na sio kujidhalilisha namna hii,kwani mwanamke nikiumbe cheny uwezo mkubwa wa kufiri na kufanya maamuzi, ila kama hatukua ni mtu wa kukaa chini na kufikiria.




Ona sasa kufuli nje


Mwanadada mtumziwa akimwaga ladhi
 
hii makitu ni hatari sana hasa kwetu sisi wenye wanawake mapolisi, anaweza kukuzuga anaingia night shift, kesho unaikuta taswira yake JF akifanya uozo kwenye kumbi za starehe
 
nimepita tu

Siledi zingine ni za kusikitisha sana kama kweli bongo nao tumeyafikia haya sema tu ni kwa vile machozi ya mwanaume ni kazi kutoka ila hizi Siledi nazoziona humu jf ni za kutoza machozi hata jana niliGoogle neno "walevi" upande wa google image kwa kweli nilichokutana nacho nilizubaa kwanza, nikajiuliza mara mbili mbili bila majibu. Unabii unaenda kutimia tukiona kwa macho yetu wenyewe.
 
hii makitu ni hatari sana hasa kwetu sisi wenye wanawake mapolisi, anaweza kukuzuga anaingia night shift, kesho unaikuta taswira yake JF akifanya uozo kwenye kumbi za starehe

pole wee ila kwa mtu anaejiheshimu sidhani kama anaweza fanya hayo madudu bana,hulka ya mtu!ujinga mtupu huu daaah!
 
Mwenye picha za Shilole kwenye shoo ya Billicanas last weekend aziweke hapa! Nasikia ni motooooo!
 
hamna kitu kipya hapa sana sana ni hii digitali inafanya nione hivi ila ni vya long time tu.
 
We mbuzi mzee umewaona wenzio mbuzi vijana wamepanda juu ya mti?umeshachukua hatua za makusudi?
 
Hayo mapaja kama Tumbo la Mamba, khaaaaa!!!!!! Halafu WACHAFU sana, phuuuu!!!!

IMG.JPG
 
Back
Top Bottom