[emoji3578]Hawaumii Wala hawahangaiki, wao wameyakubali maisha jinsi yalivyo
[emoji3059]Uwapende au usiwapende wao hawajali Wala nini, uwachukie usiwachukie wao Wala haiwahusu.
[emoji3578]Hayo yote hayafanyiki kwa bahati mbaya kwao, Ila Kuna nguvu takatifu imezaliwa na kukua ndani yao, na Hawa ndiyo waliochaguliwa kuja kuokoa ulimwengu.