Sasa mods nawaelewa. Ndo maana wakati mwingine wanakukula kichwa usiingie huku πππππΏββοΈ
Mnajishtukia tu. Wala hakuna aliyesema kuwa huyo mama ni Mchaga πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈHakunaaaaππππwana tuova doziii.
Selfka si ipo imefufuka mkuu? Mwambie huyo mjukuu wako akupeleke. Labda kama watakuwa wamechafua hewa tena ππKwamba kwasasa umenenepa?
Selfika yetu ingekwepo hopefully ungetupiamo ka picha tukuone ulivyobongeka π
Mojawapo ya nyama bora kabisa za wanyama wa porini nilizowahi kula πNi mnyama analiwa pia.
Ni kama mbuzi tu ama Swala kama umewahi kumuona pale Mikumi National Park
[emoji23][emoji23][emoji23],juzi wameniachia jana wamenifungia[emoji15],Sasa mods nawaelewa. Ndo maana wakati mwingine wanakukula kichwa usiingie huku [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099]
Babu[emoji23][emoji23][emoji23],Selfka si ipo imefufuka mkuu? Mwambie huyo mjukuu wako akupeleke. Labda kama watakuwa wamechafua hewa tena [emoji16][emoji870]
Anapambania rekodi ya unene kwenye Guinness Book of Records ama? π³
Ngoja nikuchomee wakule kichwa asubuhi na mapema![emoji23][emoji23][emoji23],juzi wameniachia jana wamenifungia[emoji15],
Leo sijui kama litazama[emoji23]
Mpeleke mzee mwenzangu huko kama bado kuko shwari ππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈBabu[emoji23][emoji23][emoji23],