Hahahaππππ
Kwani wadada weusi tumewafanya nini lakini πππ
na ina likes zaidi ya 200.... aisee
mideko nikikuona mbinguni ntashangaa sana
ππππKwani wadada weusi tumewafanya nini lakini πππ
Hahahahahahahhaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π
Mara paap Mideko huyu hapa wakati tunakunywa maziwa na asali na akina Eliya na Musa. Aisee nitaondoka zangu tu kwenda hata kwa bro Shetty nikaone kama kweli kutakuwa na Wachaga huko wanauza faya ekstingwisha! πππmideko nikikuona mbinguni ntashangaa sana
Ulaya kuna mbwa wana raha kuliko hata Mbongo wa Masaki πππ
Ila Wahaya bana dah!
bro wasukuma hawaendagi mbinguniπMara paap Mideko huyu hapa wakati tunakunywa maziwa na asali na akina Eliya na Musa. Aisee nitaondoka zangu tu kwenda hata kwa bro Shetty nikaone kama kweli kutakuwa na Wachaga huko wanauza faya ekstingwisha! πππ