Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hii ni zaidi ya ujambazi. Yaani iko level ya juu zaidi ya ugaidi. Pole yake huyo mama na Mimi niko nyuma ya hao mawakili walioamua kumkatia rufaa
 
Hii ni zaidi ya ujambazi. Yaani iko level ya juu zaidi ya ugaidi. Pole yake huyo mama na Mimi niko nyuma ya hao mawakili walioamua kumkatia rufaa
Nchi hii inashangaza sana ndugu yangu. Tunaona mafisadi yanaiba mpaka trillions hayafanywi kitu au yakifanywa kitu basi ni faini ya kulipa milioni mbili au kifungo cha miezi sita. Halafu huyu mama pengine alikuwa anauza hii nyama ili aweze kupata mahitaji yake ya msingi ndiyo anapigwa mvua 22. Not fair!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…