Waswahili husema "Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime, wakipatana chukua kapu ukavune".
Russia na Ukraine ni ndugu wa damu, lakini ushawishi wa Ronald Reagan kwa Gorbachev umevuruga undugu wa watu hawa.
Leo wameamua kuchapana ili kupata suluhisho la mgawanyo wa vinu vyao vya Nuclear , sisi masikini wa Afrika tufanye nini?