Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,275
- 37,589
Depal this could be usπ€£
Depal this could be us[emoji1787]
Walao nimejitahidi kuangalia mbili tatu lakini za huyu jamaa sijawahi ona kwakweli
Aongeze na hii
Hapa lazima nitoke nduki, naomba nisiulizwe kwanini maana maisha bado matamu haya π€ͺπππ
huyo hata hana mvuto shepu yote imefunikwa na mafutaHapa lazima nitoke nduki, naomba nisiulizwe kwanini maana maisha bado matamu haya π€ͺπππ
Toka wawafungie selfikaHapa lazima nitoke nduki, naomba nisiulizwe kwanini maana maisha bado matamu haya π€ͺπππ
napenda sana hizi memesπHahahaaaa
nilivyoanza kuona comment yako, akilini ikanijia pengine ni issue za weed/ shisha. ππ
Kumbe ni wewe na msukuma mwenzako mnapiga maphoto
Kweli wametuweza, yaani saivi nashinda Siasani na huku tuToka wawafungie selfika
Siku hizi mpaka huku unafika ππππ
Mods hoyeee
Na sisi Wazee tusio na nguvu inaweza kuwa tiketi ya kwenda kwa Sir God, maana hapo lazima Presha na Kisukari kipande π€ͺππhuyo hata hana mvuto shepu yote imefunikwa na mafuta
Mkome ππKweli wametuweza, yaani saivi nashinda Siasani na huku tu
Ongea basi na yule kaka yako Mod aturudishie Jukwaa letu.Mkome ππ
Hiyo kazi siifanyi ππOngea basi na yule kaka yako Mod aturudishie Jukwaa letu.
Waambie Mods kuwa Tumekosa Sisi, tumekosa sanaπ
Kwani hutaki hela ya kwenda Kutalii Serengeti mwezi December?Hiyo kazi siifanyi ππ
Weka SDY zinazoeleweka siyo hizi za Ngarenaro na Kibororoni π¬. Mbona mimi huwa nakuwekea vimbaumbau slim thick vikali? Unafikiri vimbaumbau vilivyokongoroka na kubakia mifupa mitupu sivijui? π³π³π³π¬π¬π¬