Mwanamke akiwa uchi kabisa alifungua mlango wa tax na kumuelekeza dereva anapotaka kwenda
Dereva alibakia ana mshangaa kwa dakika kadhaa bila kuwasha gari
Yule mwanamke akang’aka hee wewe vipi kwani leo ndio mara yako ya kwanza kuona mwanamke akiwa mtupu?
Dereva kwa upole akasema hapana sishangai utupu wako bali najiuliza hizo hela za kunilipa umeziweka wapi?