Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mvua zimeenda. Natumaini uchumi wake uko sawa na siyo kama Kandabongoman nimemuona juzi hapa kachoka balaa anachangiwa pesa ya kula
Bongoman huyu ninayemjua!!
Bongoman bhana alivuna pesa si mchezo.
Aliingia Nairobi, mapokezi yake tu watu wameuana.
Hapa Tanzania show yake moja Kilimanjaro Hotel ilikugharimu laki 1.
Na hiyo ni mwaka 1991.
Mzee Mwinyi alikuwa na kikao na watoa huduma za afya (nadhani manesi) alivunja kikao ili kwanza akamuone Bongoman.
Kama amefirisika itakuwa amekosea mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…