Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wenyeji wa Idodomya mpo? Viwanja vikali vya kujivinjari wikendi hii kwa mgeni asiyekunywa pombe wala kushobokea pisi kali viko wapi mitaa hii ya Uswahilini?

View attachment 2773313
Mitaa imetuleaπŸ”₯Viwanja nitakuja na majibu maana nimetoka muda mitaa hiyo...


Na huu upanuzi wa airport sijajua location nzuri ni ipi karibu na hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…