Vituko mitandaoni. Tupia chako

Nimefurahi sana uliposema kuna dini na Mungu.
Dini na Mungu ni vitu viwili kabisa, na hata huyo Mungu anatajwa kwenye dini yaweza kua ni tofauti sana uhalisia wa Mungu .

Ukweli unabaki yupo mmoja mwenye nguvu , uwezo mariifa na upeo wa juu sana ambaye alifanya ulimwengu kuw jinsi ulivyo, tunaweza kumuita vyovyote lakini tubaki na hilo la mazoea la Mungu.

Watu wa dini wamemmiliki Mungu, kwamba Mungu ni wao, yoyote anae amini Mungu tofauti na wao basi anaitwa majina mabaya!

Watu wa dini hawana upendo, ni wabaguzi na wenye roho mbaya kitu ambacho u Mungu hauna.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ